kt the irreplaceable
JF-Expert Member
- Oct 12, 2017
- 2,391
- 4,936
hahaha zero brainlabda taarifa za kintelejensia zinaonyesha huwa anavaa nguo kali na kupaka pafyumu nzuri au labda mna nyumba na gari zuri?si unajua awamu hii ni ya wanyonge wanuka majasho?
[emoji121]Wanabodi leo hii bodi ya mikopo ya elimu ya juu imetoa orodha ya tatu na ya mwisho ya wanafunzi waliofanikiwa kupata mikopo kwa ajili ya ada na pesa ya kujikimu kwa wanafunzi wa elimu ya juu.
Ajabu na linalonishangaza ni huyu mdogo wangu, kasoma shule za serikali kuanzia darasa la kwanza mpaka kidato cha sita, akinyimwa mkopo ilihali akiwa amefaulu kwa division ya kwanza kuanzia kidato cha nne mpaka sita, tena kwa combination ya PCB. Mpaka mda huu amefanikiwa kupata nafasi katika chuo cha ( MUHAS) MUHIMBILI UNIVERSITY OF HEALTH AND ALLIED SCIENCE katika faculty ya MEDICINE.
Wanabodi nisaidieni mawazo ili kuokoa ndoto za dogo huyu ukizingatia sisi wakulima wa chini (strong peasants) kugharamia hizo ada za milion kadhaa ni mitihani kidogo.
Pia ntafurahi ikiwa ntasaidiwa kukutanishwa na wadau wengine wanaweza kumsponsor dogo huyu mwenye ndoto lukuki kwenye kada hii "nyeti" ya afya.
NAWASILISHA
Kweli mzee ameniambia asilimia kubwa wanafunzi wa pale hawana mkopo na they don't care... sisi ni kayumba na dogo kapiga division 1 ya point 4Doctor of medicine wanaosoma wengi kipind hiki ni vibosire aseeee kayumba wanahesabika muhas wanachukua one ya 3 mpka ya 6 PCB unakuta watt wa Marian,fezza,cjui kanosa,mara mwanza alliance ndo wengi wao wanapigaz hzo point na kuchaguliwa paleeeee........wengine wanajipia kairuki na takataka mikopo hawapati.....
Ko mkomae t kutoa mitonyo hyo akameze tna BS kwa semister
Pamoja sana mzeeAngalia kama kuna error iliyofanyika kwenye majina yaliyotolewa.
Pili fatilieni kama kulikua na multiple admissin kwenye batch alizochaguliwa maana majina yanaweza yakawa hayajafanyiwa kazi loan board kwenye hizi batch za mwisho mwisho.
Mimi nilipata chuo second round,na mpaka chuo kinafunguliwa sikuwa nimepata mkopo sababu ya multiple admission lakini nilipata batch ya nne 100%
Jiwe kageuza elimu kuwa ilimu mkuu..........Kweli mzee ameniambia asilimia kubwa wanafunzi wa pale hawana mkopo na they don't care... sisi ni kayumba na dogo kapiga division 1 ya point 4
Umekunywa Viroba hii ni serious matterlabda taarifa za kintelejensia zinaonyesha huwa anavaa nguo kali na kupaka pafyumu nzuri au labda mna nyumba na gari zuri?si unajua awamu hii ni ya wanyonge wanuka majasho?
Siku hizi mambo yamekuwa hayojina la ukoo ni lipi?masawe,kimaro,mushi???
Ningekuwa na hyo hela ningemlipia hyo ada kajitahidi sana sisi enzi za Jakaya na vi arts vyetu tulipata mkopo asilimia 90% serikali iwaangalie hawa wanaosoma udaktari wapate mikopo aiseeKweli mzee ameniambia asilimia kubwa wanafunzi wa pale hawana mkopo na they don't care... sisi ni kayumba na dogo kapiga division 1 ya point 4