"iNAITWAJE mOVIE hII..?"

"iNAITWAJE mOVIE hII..?"

Rjohn

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2012
Posts
613
Reaction score
128
kuna movie flan inahusu train(treni) ambayo inatembea mwendo mkali bila dereva so wanahangaika kuisimamisha, niliiona kitambo jina nimesahau anaejua anitajie jina la hyo movie......!
 
kitambo lini mkuu...mie naijua unstoppable ya denzel washngton..,ni ya 2010
 
Rjohn, Labda ungeongeza maelezo ingesaidia ku narrow down.Nnazozijua kulingana na maelezo yako kuna:
Runaway Train - Hii ni ya mwaka 1985 kacheza Jon Voight
Unstoppable - Ya 2010 kacheza Denzel Washington
Money Train - Hii kacheza Wesley Snipes, ni ya mwaka 1995
Cassandra Crossing - Hii ni ya miaka ya 70 kumbukumbu zangu zinanambia alicheza Martin Sheen
 
Last edited by a moderator:
kuna movie flan inahusu train(treni) ambayo inatembea mwendo mkali bila dereva so wanahangaika kuisimamisha, niliiona kitambo jina nimesahau anaejua anitajie jina la hyo movie......!
Unstoppable 2010 Denzel Washngton,Mbona sio kitambo kihivyo halafu ya kawaida sana.
 
Back
Top Bottom