INAHITAJIKA: Toyota Hilux Vigo DOUBLE CAB

INAHITAJIKA: Toyota Hilux Vigo DOUBLE CAB

Soko Huru Mkuu, Hakuna wakunilazimisha kununua gari bovu. Nitaangalia litakalokuwa bora kuliko yote. Ila Thanks for your advice Mkuu.
Poa. Ila kama hutojali, angalia Hilux Surf ambayo inafanana vitu vingi na Hilux Vigo. Surf kwa hela hiyo utapata yenye kiwango.
 
Kuna moja inataka 22 mkuu namba A engine unagusa tu
Naomba picha mkuu, naweza vutiwa nayo tukafanya biashara. Unaweza kunitumia whatsApp pia 0754754593.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom