NITAFUTE NAMI NAHITAJI:0713-039875Nnazo nauza 360,000 used toka Denmark ...naweza kuelekeza sehemu ninapopatikana na ukaja kuziona
Ova
Asante kwa ushauri wako mkuu ila wengine tupo Mbwinde hakuna hayo maduka ya kufanyia window shoping that's why tunakuja humu jamvinijamani mashine za kufulia nguo zimejaa kwenye maduka ya electronics kila wanapouza fridge na mashine za kufua zipo.It is not a rocket science. Halafu ningeshauri tuwe na culture ya kufanya window shopping ili ujue technolojia imefika wapi tuendane na wakati
Mkuu, hii yako itakuwa inapiga na pasi kabisa 😀😀😀wadau ninayo mpya kabisa..ntatuma picha na ntauza kwa laki 450..brand new
Mimi ninavyojua kuna washing machine inafua tu, na tumble dryer inakausha. Yaani ukishafua unaweka kwenye dryer zinakaushwa.Habari wanabodi,mwenye mashine ya kisasa used au brand new ya kufua na kukausha nguo at the same time(two in one) yaani washing and drying machine kwaajili ya biashara naomba tuwasiliane ila iwe na sifa hizi:
*Front loader machine
*Capasity 10kg
*Eco friendly
Note:
Kama ni used naomba iwe katika hali nzuri (in good condition)
Tuwasiliane PM Or 0629092932
Nakushauri usinunue mashine used!! Utalia na umeme. Tafuta mpya ambazo zimetengenezwa kwa kuzingatia mazingira ya sasa!!Habari wanabodi,mwenye mashine ya kisasa used au brand new ya kufua na kukausha nguo at the same time(two in one) yaani washing and drying machine kwaajili ya biashara naomba tuwasiliane ila iwe na sifa hizi:
*Front loader machine
*Capasity 10kg
*Eco friendly
Note:
Kama ni used naomba iwe katika hali nzuri (in good condition)
Tuwasiliane PM Or 0629092932
Zipo zinazokausha.Me najua inafua na kukamua, kumbe zipo ninazokausha!!!
Au ni lugha gongana?
Ok[emoji106]Zipo zinazokausha.
Kiongozi #mrangi# hebu weka mawasiliano yako hapa ili kila anayehitaji akupigie,ikiwezekana utuwekee na picha ya hiyo mashine,plsNnazo nauza 360,000 used toka Denmark ...naweza kuelekeza sehemu ninapopatikana na ukaja kuziona
Ova
nahitaji ya kukausha peke yake nipe bei kama unayo na picha unaweza nitumia whatsapp 0714890018Nnazo nauza 360,000 used toka Denmark ...naweza kuelekeza sehemu ninapopatikana na ukaja kuziona
Ova