wakuchuja
Member
- Jan 12, 2014
- 17
- 35
Habarini za mida wakuu? wacha niende moja kwa moja kwenye mada
Mimi ni kijana wa miaka 27 nimekuwa nikifanya ujasiriamali kwa mda biashara ndogo ndogo na ufundi(rangi)
Ila ninapitia kipindi kwa sasa nimejikuta nakula hiki kimtaji changu kidogo nina familia ya watoto wawili na mke sina nimepanga nadaiwa kodi chakula jaman naombeni mnisaidie ndugu zangu nimebaki kuzurula tu mitaani kisha narudi kutizamana na mama watoto sio hela naomba kazi nguvu ninazo na hapa nilipo sipati tenda kiukweli maisha yamekuwa magumu sana upande wangu
Kama kuna mtu amewahi kupitia kipindi kama hiki najua atakuwa anahisi napitia wakati gani, nafikia hatua ya kutaka kuuza simu yangu hii ila bado najifariji huenda nikapoteza kabisa maana simu inaweza kutumika pia kunipa kazi
Naomba mwenye uwezo wa kunisaidia anioatie kazi hata saidia fundi ila kama ikipatikana kazi ya rangi skiming za material zote nafanya
Msaada tafadhari ndugu zangu hata kwa yeyote anaejua sehemu yoyote palipo na site ya ujenzi anijuze nijitose mkoa wowote ule ilimradi tu kazi ipatikane
Nazungumzia sana mambo ya ujenzi kwa sababu ndio huko nilikobobea hata kamtaji kangu nilikapata huko
Naomba Mungu awatie wepesi, muwe na majukumu mema ndugu zangu