Inahitajika gari ya 2.5m

Inahitajika gari ya 2.5m

NAREI

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2017
Posts
1,730
Reaction score
1,665
Habari wakuu,

Nina ndugu yangu anatafuta gari ya Kuanzia maisha walau.

Gari anazopendekeza ni cresta, corolla, starlet, gx 100.

Iwe kwenye hali nzuri tu na inayotembea.

Ziwe engine ndogo.

Karibuni kwa wenye gari mliozipaki ndani tu zisije kuoza.

Location: iwe Dar
 
Kwa bei ya hizo gari ili upate ilio safi utahitajika uwe na walau 4.5m
 
Kwa maisha yalivyo magumu hiyo 2.5m ni nyingi sana.
Utapata gari hata kwa 900K.
 
gari zipo nyingi sana
unaipata kwa 2.8mil
FB_IMG_1631344526945.jpg
 
Back
Top Bottom