Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,869
- 32,708
Kwamimi sidhani kama ishu ni upatikanaji wa gari, bali wewe useme una shilingi ngapi,Wapendwa habari zenu,
Inahitajika gari inaweza kuwa Raum, Nadia au Spacio new model.
Atakayekuwa nayo aniambie hapa,iwe katika hali nzuri na itakaguliwa na fundi, karibuni.
Mimi ninayo spacio old model nipm kama unaitaka
Wapendwa habari zenu,

Ninayo old model ina namba C taja dau lako tuone tunafanyaje
Sent from my iPhone 4S using JamiiForums app
Nipim nikutumie picha zote zip..bei 8 mpk 11.5M wewe tu!
Raum new Model na Nadia SU version ni tamu Bantu lady!!