kulangwa22
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 739
- 548
Inahitajika piki2 aina boxer ambayo ilikua ikitumika kwa mtu kam usafr wa binafsi plate no njano iwe na hali nzuri au km imefanyia biashar isiwe imezid miez 10 pia iwe katk hali nzuri bajeti ni laki 8 , muhitaji yupo dar esalam... picha unawez Tuma pm asant