mfetere
JF-Expert Member
- Feb 27, 2014
- 251
- 95
Habari wana jf kama kichwa cha habari kinavyosema inahitaji nyumba ya kununua iwe na vyumba 3 vya kulala sebule jiko na choo maeneo ya tegeta, boko na bunju iwe ya kuhamia gari iwe inafika mpka kwenye nyumba tuma picha kwa namba hii 0714787795.karibuni