Ni kwamba kila anapotokea Daktari wa hiyo Surgery,hupatwa na majanga au kutupwa hospitali za mbali huko Ughaibuni....akafanye kazi na kuzeekea huko.Moja ya upasuaji mgumu kuwahi kutokea Ni kuitenganisha CCM na uhalifu wa kila aina.
Usifanye mzaha kabisa juu ya Hilo.Ni kwamba kila anapotokea Daktari wa hiyo Surgery,hupatwa na majanga au kutupwa hospitali za mbali huko Ughaibuni.na baadae utawasikia
"Mungu Kaamua Ugomvi" ...baada ya mission kukamilika!
Umeandika mengi, na bila shaka yote hayo yamejaa kifuani mwako.Hivi nyinyi walamba "ASALI" mnaijua "HASIRA" iliyoko kwenye vifua vya wananchi hususan walalahoi mitaani.na vijijini?
Hivi ni wapi nimeandika kajenga hekalu?Kuna mambo yanafikirisha sana sana
Huyo Shangazi wako alipata wapi pesa za kujenga ghorofa kama ni mtumishi wa uma na si mwanasiasa?
Kwa mshahara gani wa serikali mtu ajenge hekalu kama sio semina za kodi na warsha...
Umenena Kweli !!Umeandika mengi, na bila shaka yote hayo yamejaa kifuani mwako.
Ila mimi nimevutwa na huu mstari mmoja uliouweka hapo....
Mabaki mabaki ya jiwe bado yapo hayaamini kama hayupo hizi ni zama zingine ni kitabu kingine, endana nacho, ushauri wako ulio mwema unapokelewa matusi hatuyataki, ugua pole!1-Tangu lini mtu anayelala mlango wazi usiku akawa mwenye furaha?
2-Tangu lini mtu akaufurahia Umaskini na kujivunia wingi wa Madeni?
3-Hivi tangu lini mtu mwenye umaskini wa kipato Njaa,Ukosefu wa ajira,Elimu Duni,na tena ikielekea ku-Dunishwa zaidi siku si nyingi.
Akawa mwenye furaha?
4-Na huko matumboni amewaunganisha watanzania wangapi?
5-Je!
Ameweza kudhibiti mfumko wa bei za bidhaa muhimu kote nchini?
6-Je!
Ni watanzania wangapi wanaonufaika na huo ufungukaji wa nchi tofauti na kundi la wachache,mnaoshinda mkipishana kwenye milango ya ndege kwa safari zisizo na tija?
7-Pamoja na Makongamano,Warsha,Semina,Ufunguzi,Uteuzi lukuki ni kipi mnaweza kututajia kama kielelezo chanya kilichotokana na yote hayo kwa Taifa hili?
Mnakaa kutuimbia "Kufungua Nchi"wakati ni kufungua "HAZINA" iporwe!
Mnauza vyakula nje bila tahadhali kuangalia huku kimebaki nini!
Sasa tunaenda kuingia baa la njaa kwa sehemu kubwa,kutokana na ukame unaoinyemelea nchi na Afrika Mashariki kwa ujumla.
Ukianzia huko juu Somalia na sasa uko Northern Kenya,huku ukiwa unabisha hodi Tanzania.
Au mnataka njaa itunyooshe ili CCM muweze kutumia chakula cha msaada wa njaa kwenye kampeni 2025?
Huyo Mama "Nyasafari" wenu,mnampangia safari lukuki,ili mpate mwanya na nafasi ya kuiba!
Na vile mmemjua anapenda kusifiwa,mkishaiba na kuficha,ndio mnasambazwa machawa kama wewe "mshamba" kuja huku kutuletea ujinga wenu!
Hivi nyinyi walamba "ASALI" mnaijua "HASIRA" iliyoko kwenye vifua vya wananchi hususan walalahoi mitaani.na vijijini?
Hasahasa Machinga wote nchini?
Ambao wengi kwa maelfu nchini,wamevurugiwa miundombinu yao na hatimae wengi kupoteza raslimali mtaji yao,huku wakiwa hawawezeshwi kwa mikopo,ili wajikusanyie nguvu ya mitaji na hatimae kurudia kwenye ujasiriamali wao huko walikopelekwa upya!
Na hilo ndio kundi kubwa ambalo,kama msipolijali na kuendelea kuliacha.
Ndilo litakaloinufaisha chadema na wapinzani wengine nchini.
Endapo kama wakijua kulitumia ili kumpiga "Mama Nyasafari" wenu chini,uchaguzi ujao 2025.
Alamsikhi.
Kutuogopesha na Kututisha ili tufunge Midomo na kuacha kusema mabaya kadhaa yanayoendelea ndani ya Chama na SerikaliNa ndio lengo halisi la ile Hukumu isiyozingatia Criminal Procedures Act.Nyie wanaccm hamtakiwi kumkosoa Mwenyekiti , mkikaidi mnakula vifungo
Na wamemuweka mfukoni sasa wanafanya kama watakavyo.Ni hatari embu angalia interview ya Makamba aliyofanya clouds hivi karibuni ndio utaelewa tulipo. Yaani mtangazaji aoni aibu kuomba sponsorship ya kunadi sera adharani na waziri aoni shida kutoa ahadi ya kutafuta mbinu za kuwapa mlo.
Anyway no one cares wale tu hizo hela za serikali ishakuwa nchi ya kifalme; wafanye wanavyotaka as far as watanzania wengi tulivyo watu wa kukubali matokeo.
Shida ya hawa watu ni kutokuelewa mipaka ya tamaa zao. Hela za kodi wale wanavyotaka lakini hiyo aiwatoshi. Wakishaiba hizo hela hawana biashara za kufanya zaidi ya property investment na mbinu ni kutumia mashirika ya serikali toa watu maeneo prime vunja nyumba wekeza na hizi hela za wizi.
Huko madongo poromoko walipojenga wao kama Mbweni nenda na wewe kajenge nyumba yako nzuri uone mziki wake wao wanawalinzi wa serikali wenye bunduki au privates kama ultimate security wenye bastola. Wewe weka ukuta wako na fence tu.
Majuzi shangazi yangu anani-hadithia yupo kwake Mbweni wezi wanavunja gate anawasikia walichofanya waliopo ndani wakapeane text kila mtu ajifungie chumbani wasitoke kwa usalama wao.
Jamaa baada ya hapo wakakata frame za madirishani wakaingia ndani wakafanya yao sebuleni na jikoni walivyoweza beba. Asubuhi shangazi anakwambia tunafanya kazi ya kuhesabu hasara tu muhimu uhai kwa sasa. Haya mambo uwezi sikia upanga kwenye ujirani mwema ndio sehemu wanazotaka kujenga miradi yao sababu ni safe areas.
Ni hivi Samia aachie hiyo nchi inarudi kuwa ya ovyo mno ndani ya muda mfupi; yupo kuwafurahisha mafisadi tu.