Kila kitu linawezekana. Ila itategemeana na scheme ya ajira Yako kama inaruhusu maana nadhani unachomaanisha ni pamoja na kwenda kusoma huku ukiendelea kupokea mshahara na employment security Yako iwe intact.
Kwa mfano Mwalimu kwenye halmashauri X anaweza kuomba kwenda kusomea uhasibu na akakubaliwa kwa sababu kada ya uhasibu inahitajika pia katika halmashauri hiyo n.k n.k.