Hadi hapa umeshindwa kuacha mkuu, maana unataka kujaribu kuacha kwa maandishi kama ulivyoandika hapa.
Ungekuwa unataka kuacha kweli basi ungeacha tu kimya kimya!
Kwa kiasi kikubwa hutaweza kuacha kwa namna hii bali labda utapumzika tu kidogo!
Nilikuwa kama wewe mkuu, na nilijaribu kuacha lakini niliishia tu kupumzika kama miezi kadhaa lakini Moto niliokuja nao awamu ya pili ilikuwa zaidi ya mwanzoni.
Mkuu Fanya usijizuie, ukimpata mwanamke kula, usipopata jichukulie Sheria mkononi.... Yaani pale tu ukijisikia basi usihangaike kutafuta mwanamke kama yupo mbali... Jichukulie Sheria mkononi ili mradi hamu ziishe ulale kwa amani.
Mkuu, haya mambo ni kama tu vile maji yanayopita kwenye mkondo... Unaweza ukayazuia tu kwa muda, yakatulia kidogo huku yakijazana! Lakini punde tu yakipata upenyo au sehemu dhaifu, basi yanavunja kizuizi yanamwagika kwa Fujo na mwishowe kuleta mafuriko!
Acha maji yapite kwenye mkondo wake (mtoni) maana msimu wa mvua ukiisha basi nayo hupungua, kwenda pole pole na hata kuisha kabisa.
Kila la heri mkuu!