Mkuu wewe ndo unalijua hili leo? Hawa watawala wetu kipaumbele chao si maendeleo yetu bali madaraka yao.Hongera Sana kwa kuung'amua huu ukweli,maana watanzania walio wengi itawachukua miaka mingi kuujua na kuelewa ukweli huu.
Anatekeleza ahadi zake kwa vitendo za kuwafanya wanyonge waishi kama mashetani, walimie meno yaani waisome no hasa, kuliko zile walizozisoma enzi za Nyerere.Mliambiwa matalimia meno,mtasomeswa no,mtafanywa muwe mashetani ( wanyonge). Hivi watu watulie sindano ziwaingie ili siku zingine wawe na akili kuzisoma alama.Wakenya walistuka kusomeshwa no thus awakukosea kuchagua.