Ina maana tulidanganywa?

The Pen

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2010
Posts
755
Reaction score
261


Unakumbukaje khs mpaka wetu na Malawi? Ina maana hatuna hata chembe ya ziwa Nyasa!
 
Ramani hii nadhani ndo aliyonayo huyo Rais wa Malawi, kweli kachemka
 
kwa nini malawi tusiipige afu iwe mkoa wa tanzania?
 
hii tu iliyopo hamuwezi kuihudumia sirikali haina pesa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…