Ezekiely Charlese
Member
- Dec 19, 2013
- 74
- 13
Nini nifanye kila ninayejitahidi kumuonye mapenzi ya thati ananiona zoba na kunikimbia, sasa mwaka huu nabadili mchezo. Nimechoka kuumizwa ngoja na mm niumize 2one kama ni fresh hamna kupenda tena mm ni mzee wa nje ndani mguu mmoja nje mwingine ndani hata akinikimbia poa ctaumia sana.
Hakuna mwanamke mwenye mapenzi ya dhati Dar. Acha kujidanganya. Labda walio ndani ya ndoa.
Kuna makahaba wapenda pesa tu.
....Which obviously is one hardest thing to perfectly do.(Sehemu iliyokolezwa inahusika kupitiliza.)Wanawake wengi ni broken hearted so mioyo ni vipande vipande ni vigumu kupenda/kupendwa or else uwe a man enough to be able to glue together those pieces into one complete one loving heart again!