Ina maana mwanamke ukimpenda sana ni tatizo au?

Dec 19, 2013
74
13
Nini nifanye kila ninayejitahidi kumuonye mapenzi ya thati ananiona zoba na kunikimbia, sasa mwaka huu nabadili mchezo. Nimechoka kuumizwa ngoja na mm niumize 2one kama ni fresh hamna kupenda tena mm ni mzee wa nje ndani mguu mmoja nje mwingine ndani hata akinikimbia poa ctaumia sana.
 
Ndo hivo kamanda wang maana kila kila kukicha hawa wadada ndo wanazidi cjui mwaka huu itakuwaje c ndo nouma
 
pole sana kwa mawazo yako potofu.utawapata wenye mawazo kama yako.kama ujapata mpz wa maana tulia panga ishu zako.kila kitu kinakuja kwa wakati...
 
wanawake wengi ni broken hearted so mioyo ni vipande vipande ni vigumu kupenda/kupendwa or else uwe a man enough to be able to glue together those pieces into one complete one loving heart again!
 
Ezekiel Charlese heri ya mwaka mpya....
Usianze mwaka kwa kutaka kulipa kisasi, mpende mkeo..nae atakuheshimu...
 
Last edited by a moderator:
Hakuna mwanamke mwenye mapenzi ya dhati Dar. Acha kujidanganya. Labda walio ndani ya ndoa.
Kuna makahaba wapenda pesa tu.
 
Nini nifanye kila ninayejitahidi kumuonye mapenzi ya thati ananiona zoba na kunikimbia, sasa mwaka huu nabadili mchezo. Nimechoka kuumizwa ngoja na mm niumize 2one kama ni fresh hamna kupenda tena mm ni mzee wa nje ndani mguu mmoja nje mwingine ndani hata akinikimbia poa ctaumia sana.

Gyals no like gud bways..
Bad boys rock, they say.
 
Hutakiwi kumuamin mwanamke,anabadilika kwa sekunde,kwenye mambo ya mapenz kumwamin mwanamke unakua umefanya kitu inaitwa gross mistake mkuu,mwamin km sio mambo ya mapenz.baada ya kugundua hlo saiv naish kwa aman sana mkuu,natembea kifua mbele mgongo nyuma.
 
which new year do you mean?
happy-islamic-new-year.jpg happy-chinese-new-year.jpg
 
Wanawake wengi ni broken hearted so mioyo ni vipande vipande ni vigumu kupenda/kupendwa or else uwe a man enough to be able to glue together those pieces into one complete one loving heart again!
....Which obviously is one hardest thing to perfectly do.(Sehemu iliyokolezwa inahusika kupitiliza.)
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom