inasikitisha sana huwa tunakuwa wepesi mno kumkosoa / kumkandia pale tukiona kuwa hajitoi na haipambanii timu ya taifa ( taifa stars ) ila akijitoa kwa nguvu zake zote kwa kupambana zaidi uwanjani kama alivyofanya leo dhidi ya zambia wala hatumpongezi na kuithamini thamani yake
asante mbwana samatta popa ( captain diego ) kwa kuipambamia nchi ya tanzania kivitendo leo dhidi ya chipolopolo ( zambia ) na cognizant nasema hakuna tunachokudai kabisa. umekitendea mno haki kitambaa cha unahodha ulichovaa leo