Vijana wangu,kwa taarifa nilizoziepua hvi punde kutoka jikon ni kwamba,mchakato wa selection umekamilika kabisa.ila ngoma imekuja kugomea pale heslb,kuna taarifa za kuaminika kwamba vijana wengi mwaka huu hawajaapply mkopo{sijui kama ni kweli au ndo janja ya kuwanyima mikopo}kwa hiyo wameipa helsb wakati mgumu sana kwani wameshndwa kuelewa tatizo ni nin na ndio maana kama mnafuatilia kuna tangazo limetolewa na helsb likiwataka watu wote ambao hawajapply mkopo wafanye hvo ndani ya wiki 2,bodi ya mikopo wameamua kufanya hvo ili kuepusha zile kelele za madent kwamba wameaply ila hawajapata{ingawa kuna watu kibao tu watakosa}.sasa kinachofanyika sasa ni kusubiri hzo week mbili ziishe then helsb ipitie hayo majina mengne ya watakao kua wameaply na kuyarudisha tena tcu ili tcu waweze kuyapublish.na vile vile kuhusu selection,kuna baadhi ya vyuo hasa hvi vinavofundisha masomo ambayo ni non priorities vimekosa wanafunzi wa kutosha,programs za education,medicine,engineering na agriculture zimefurika watu na hvo kufanya competition hasa kwenye vyuo vyetu vya umma kuwa kubwa sana ingawa kwa matokeo ya mwaka huu wamechukua mpaka div 3.17.chuo kilichoongoza kuchukua wanafunzi wengi ni udsm ambacho kimechukua zaidi ya wanafunz 4500,kikifutiwa na udom,sua na saut.over