Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 37,141
- 46,412
Wakuu,
Najiuliza sana kama ni kweli kabisa kua Chadema hawajawahi kushiriki au kuhusishwa na ufisadi wowote ule hapa nchini.
Nataka nipate majibu ya swali langu ukizingatia kanunia ya kuhubiri jambo unalolitenda.
Kama Chadema ni mhubiri namba moja wa kupinga matendo ya ufisadi ambayo kiuhalisia hawapo hivyo, itakua jambo la ajabu sana kama wakihusishwa ama kushiriki kwenye ufisadi wowote.
Ningependa kuona ripoti na hati za ukaguzi wa mahesabu kwa Chadema na vyama vingine kama NCCR, CUF na NLD.