Job K
JF-Expert Member
- Oct 4, 2010
- 9,314
- 7,165
Mimi hapa sijamwelewa Prof. Kitila Mkumbo (PhD). Ina maana kitu wanachoulizwa DAWASCO lazima Katibu Mkuu wizara ya maji akijibie? Hii haiko Sawa, sasa Katibu Mkuu ukijibu kitu ambacho kiko juu ya uwezo wa DAWASCO si utawachanganya wananchi? Sasa kama unajibu vitu vya DAWASCO ina maana na huku MORUWASA, MWAUWASA, SHUWASA, DOUWASA na kwenyewe wakusubiri ukawajibie?