In the name of love

Sez you.
 

dunia inabadilika sana ndugu yangu, na kila kilichomo!
 
Hembu wape 'Tafrija ya jikoni' hao wasiojitambua na kuamua kuburutana kama Magogo.
Kiukweli binasfi nasikitika na kuwaonea huruma sana wengine kwakuwa hakuna cha kufanya kwani washapotea na kibaya zaidi wanaonekana washakata tamaa.
 
dunia inabadilika sana ndugu yangu, na kila kilichomo!
The changes are gradual and you very well know that.
Sasa mbona mnaamua kupinga vitu ambavyo mifano hai yake hata miongoni mwetu ipo,
Hatujengi tunabomoa,
Tambueni wapo wengine wanakuja humu ndani kwa lengo la kujifunza na mnajua wazi jambo hata likiwa la kijinga likishabikiwa na wengi linanaweza kutafsirika kama ndio ukweli wenyewe.
Kisha tuwasaidie hawa wengine waliopoteza muelekeo jamani.
 
!
!
aliyefupisha aniambid kwa maneno machache mtoa mada ana kipi katika posti yake. Nimependa heading ila ni ndefu mno kuisoma.
 

Ukiamua kuishi kwenye dunia virtual iliyojaa hekaya za abunuwasi ni chaguo lako, lakini uhalisia unabaki palepale, kama kuna mmoja tu kati ya mia tano, the rest ni reapers tu! fuatilia vizuri mijadala ya wanawake, iwe humu ndani au sehemu nyingine zenye mikusanyiko yao peke yao wanapoweza kuongea wazi bile kuhofia mtu utapata majibu!
 
Hembu wape 'Tafrija ya jikoni' hao wasiojitambua na kuamua kuburutana kama Magogo.
Kiukweli binasfi nasikitika na kuwaonea huruma sana wengine kwakuwa hakuna cha kufanya kwani washapotea na kibaya zaidi wanaonekana washakata tamaa.

tafrija za jikoni wanafundishwa kukata mauno na jinsi ya "kumteka" mwanaume!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…