Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,825
- 113,411
Si utaongoza wewYa sala
Si utaongoza wewYa sala
Huo sasa usaliti....[emoji58]
We mzinguaji...😜Siku nyingine ukizidiwa niambie nije nikukate kiu
[emoji1][emoji1][emoji1]Kivipi sasaWe mzinguaji...[emoji12]
Ukiijua vizur maana ya sex utaichukia sana na endapo utaifanya basi utapenda kuifanya na mtu ambae umempenda tuHelloww guys[emoji2272]
Last weekend nilikuwa mahali fulani hivi na rafiki zangu wawili wa kike ni katika kubadilisha mawazo na ku-share experiences mbalimbali za kimaisha na changamoto zake,.lakini kubwa lilikuwa ni kurefresh na kufurahia maisha japo kiduchu(baada ya hustles nyingi)...
Sasa katika mawili matatu,rafiki'angu mmoja aliuliza hivi "hivi jamani wenzangu,mnawezaje kukabiliana na hisia za mapenzi zinapokujia?unawezaje kumanage na kuepuka vishawishi na ikiwa uko "totally single" au mpenzi wako yuko mbali na hautamani wala huwezi kucheat(hata ukiwa single unaweza kuji-cheat pia)mnawezaje eti??
Mimi sikuwa na jibu kwa wakati huo kwakweli zaidi ya kumtania "tafuta bebi tuu dia usingo tuachie akina mc"[emoji847]
Sasa,em niambieni hivi wewe unawezaje kuepuka kufanya dhambi hiyo hisia za kuplay "cuve game" zinapokujia(kwa wale singo na ambao hawataki kujisaliti/kusaliti wenza wao)???
Mimi zikininyemelea nasali novena[emoji41]
Si ujee😎[emoji1][emoji1][emoji1]Kivipi sasa
Ukikua son utaelewa mom anamaanisha nini🤓Mum story is awesome![emoji41][emoji41][emoji41]
Nyeto ni kujisaliti pia...kwani hakuna njia ingine???Ok Sawa endelea kupiga nyeto
Salt water hapo hehehe unajua aisee macho kama yoteeSi ujee[emoji41]
😂😂😂macho ya .... na ....???Salt water hapo hehehe unajua aisee macho kama yotee
Me najua ndio maana nimeamua kutulia,...Ukiijua vizur maana ya sex utaichukia sana na endapo utaifanya basi utapenda kuifanya na mtu ambae umempenda tu
Kwani wako humu,..??😳[emoji1][emoji1]Futa hayo majina aisee
WapoKwani wako humu,..??[emoji15]
Toba yarabii🙆♀️🙆♀️🙆♀️nimefutaaaaWapo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Toba yarabii[emoji2296][emoji2296][emoji2296]nimefutaaaa
😂😂😂daah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nini unashika kichwa[emoji134][emoji134]