Si mwepesi sana ku-respond haraka katika issues mbalimbali za taifa hili! Juzi kafanya haraka na kuvunja mwiko wake.. kawatisha watanzania eti amani iko hatarini kutoweka!
Aliyesema ni Rais wa nchi, hajasema Chadema wamevunja sheria gani na wapi...hajasema walisema nini cha uongo....INFACT JUZI KIKWETE HAKUONGEA KAMA RAIS...bali aliongea kama anataka aonewe huruma. Nashindwa kupata picha angekuwa Saddam kipindi kile, au Mubarak juzi au Gaddafi sasa hivi.... si ndio unaenda maliwatoni gesi tu inatoka... kutokana na hofu.
Udhaifu aliouonyesha Kikwete ni mtaji mkubwa sana kwa wapenda mabadiliko, inaonekana ameishajitayarisha kuikimbia nchi, maana anajua maovu aliyoyafanya YANAONEKANA.
Tofauti na wengi walivyoichukulia kaulia ya KAFULILA...KAULIA YA KAFULILA ni kaulia ya kiongozi yeyote ambaye hataki blah! blah! kama CDM wamevunja sheria basi washtakiwe na SIO kuwatisha wananchi! Chadema haijapewa bichwa bila ina bichwa!!! Kafulila ameisadia serikali mno lakini AMEKISAIDIA CHADEMA zaidi...ANAKUWA KAMA ANAFANYA CONFIRMATION KUWA KIKWETE ANAIOGOPA CHADEMA!!! sijaona ubaya katika hilo...STILL CDM need to act like Kafulila maana kumbukeni MKIMBISHIA RAIS NA KUKOSOA STATEMENT ZAKE NDIO MMEKOSOA MFUMO MZIMA, MKIKAA KIMYA RPC wa mikoani watawasumbua sana...NADHANI SIASA ni action, Kikwete karusha kombora kutisha raia na NYIE CDM mjibuni kurudisha raia kundini..this is what we have been telling you guys to ACT ASAP in situation like this!
Katika situation kama hizi, katika mida kama hii, narudia katika nyakati kama hizi, pengine hamnielewi....IN MOMENT LIKE THIS... when CCM looks chadema as RULING PARTY...ine every corner ni CDM kuamua tu muingie IKULU AU LA!!! POLISI WILL ONLY DELAY PROCESS BUT THEY WONT DELAY TRUTH!