K kufakunesa Member Joined Jul 29, 2011 Posts 13 Reaction score 1 Aug 11, 2011 #1 Imagine katika msimu huu wa JK, anajitokeza mtu kama NDULI IDD AMIN na kuanza kuishambulia, Tanzania isiyokua na balance ya mafuta, umeme, reli, ndege na meli zimezeeka. Je wana JF tutafanya nini?
Imagine katika msimu huu wa JK, anajitokeza mtu kama NDULI IDD AMIN na kuanza kuishambulia, Tanzania isiyokua na balance ya mafuta, umeme, reli, ndege na meli zimezeeka. Je wana JF tutafanya nini?