IMTU imeruhusiwa kudahili?

IMTU imeruhusiwa kudahili?

frictional

Member
Joined
Aug 2, 2015
Posts
20
Reaction score
0
Nimerudi tena kaka zangu, great thinkers.
Nimekiona chuo cha imtu kipindi nafanya application.
Naomba kuuliza hivi kimeshafunguliwa au bado.?
Kwa maana naona watu wamekiomba!!
 
Nikiwa Kama Jirani Mwema Kabisa Wa Hicho Chuo Cha IMTU Ukweli Ni Kwamba Kwamba KIMESHAFUNGULIWA Na Sasa Ni Mwendo MDUNDO. Nakishukuru Sana Hicho Chuo Kuwa Karibu Na Makazi Ya Mathematician Kwani Napata FLEVA Mpya Kila Kukicha Kwa Gharama Tu Ya Chips Kavu Na Soda au Mishikaki Na Mayai MWANAMUME NAKANYAGA. IMTU Nawaomba Msikiamishe Hiki Chuo Hapa Kwani MTATUFANYA Turudi Tena Kwenye Michezo Yetu Ya Kupiga PUNYETO.
 
Kua mkweli mkuu umeona watu wamechagua au unataka kukiomba ndio unataka tukujuze humu kwenye jukwaa wapigie tcu watakujuza au kama Kuna anaefahamu atatujuza,alafu kaka GENTAMYCINE-ili jukwaa la elimu tue na nidhamu kidogo,kwa mimi ninavyoelewa kitakua bado sababu ata website yao hakuna jipya kabisa.
 
d
Kuna uhakika wowote kuwa IMTU kimeruhusiwa coz mwanzoni hakikuwepo online lakini sasahv kipo, bac naomba tujuzane
 
Nikiwa Kama Jirani Mwema Kabisa Wa Hicho Chuo Cha IMTU Ukweli Ni Kwamba Kwamba KIMESHAFUNGULIWA Na Sasa Ni Mwendo MDUNDO. Nakishukuru Sana Hicho Chuo Kuwa Karibu Na Makazi Ya Mathematician Kwani Napata FLEVA Mpya Kila Kukicha Kwa Gharama Tu Ya Chips Kavu Na Soda au Mishikaki Na Mayai MWANAMUME NAKANYAGA. IMTU Nawaomba Msikiamishe Hiki Chuo Hapa Kwani MTATUFANYA Turudi Tena Kwenye Michezo Yetu Ya Kupiga PUNYETO.

hahahahhahahhhah we antibiotic hahaha mathematician nomasanaaa umeniuaa hahaha
 
Nikiwa Kama Jirani Mwema Kabisa Wa Hicho Chuo Cha IMTU Ukweli Ni Kwamba Kwamba KIMESHAFUNGULIWA Na Sasa Ni Mwendo MDUNDO. Nakishukuru Sana Hicho Chuo Kuwa Karibu Na Makazi Ya Mathematician Kwani Napata FLEVA Mpya Kila Kukicha Kwa Gharama Tu Ya Chips Kavu Na Soda au Mishikaki Na Mayai MWANAMUME NAKANYAGA. IMTU Nawaomba Msikiamishe Hiki Chuo Hapa Kwani MTATUFANYA Turudi Tena Kwenye Michezo Yetu Ya Kupiga PUNYETO.

Huna lolote kutaka kujionesha na wewe ni mwanaume rijali kila sehemu kumbe mwongo.wewe gentamycine si mliwa kiboga wewe mbezi beach nzima nani asiyekufahamu.maana unataka kuaminisha wazazi wenye watoto wao wa kike hapo nini?unapata faida gani unapochafua madaktari wa watu.huna hata hadhi ya kutoka na hao watoto wa imtu..as far as hata financialy am sure they are well..maana hiyo ada yao nadhani mshaahara wako wa miaka kumi.alafu upunguze kutafuta sifa za kijinga.
 
Back
Top Bottom