Jamani, hebu tujuzane juu ya codes muhimu za kuverify/kuchunguza simu za mkononi. Code ninayoifahamu ni ile ya kucheki IMEI namba tu, yaani*#06#. Hapo ndo mwisho wa barabara yangu.
Naomba mwenye code zaidi za muhimu aweke hapa jamvini tufaidi.
Asante.