K kikore255 Member Joined Jul 30, 2018 Posts 39 Reaction score 18 Nov 2, 2018 #1 Wakuu habari za leo ,poleni na mihangaiko ya kila siku . Naomba mtu anaefahamu import process kwa hapa Tz ,Steges (A-Z) natanguliza shukrani (nikipata mtu ambae anafanya au alishawahi kufanya kazi hizi itakuwa powa sana)
Wakuu habari za leo ,poleni na mihangaiko ya kila siku . Naomba mtu anaefahamu import process kwa hapa Tz ,Steges (A-Z) natanguliza shukrani (nikipata mtu ambae anafanya au alishawahi kufanya kazi hizi itakuwa powa sana)