add google account then done umemaliza kazi.
kuadd acount nenda setting then mail/contacts/calender halafu chagua add acount then eka email yako ya google yenye contacts
Mkuu chief-mkwawa mimi ninatatizo kama la huyu mkuuf, tatizo langu nipale nikiweka line kwenye simu yangu ya iphone namba zangu zote zinakuwa zinabaki kwenye simu, nifanyeje ili nikitoa line namba zisiwe zinabaki kwenye Simu, Atafadhali!! Ahsante.
kaka ninavyofahamu hizi simu huwa hazitumii contact za sim na kama sim card yako ina contact basi unatakiwa uzi import kwenye iphone yako ili zitumike. sifahamu namna ya ku import toka iphone kuja sim card ila naweza kukuelekeza namna ya kuwa na contact zako zote ziwe file moja ambalo unaweza kwenda nalo popote
Sawa kaka hilo naweza kulipokea, nielekeze tafadhali!
strong ruler una iCloud Account uliyo Sign in kwenye iPhone yako?Mkuu chief-mkwawa mimi ninatatizo kama la huyu mkuuf, tatizo langu nipale nikiweka line kwenye simu yangu ya iphone namba zangu zote zinakuwa zinabaki kwenye simu, nifanyeje ili nikitoa line namba zisiwe zinabaki kwenye Simu, Atafadhali!! Ahsante.
nenda store search app inaitwa my contacts backup idownload then backup na ujitumie kwenye email.
litakuja file lina extension ya .vcf basi hilo file litakuwa na contact zote.
mfano kama unataka uzitumie kwenye kinokia cha zamani basi utatumia file lako na pc suite utahamisha contact au unazitaka kwenye pc basi utatumia outlook utaload file utazipata kokite.
ukiwa na file kama hilo simu yoyote unaweza kuzihamisha
strong ruler una iCloud Account uliyo Sign in kwenye iPhone yako?
mara ya kwanza ulivyoSign in iCloud account yako kwenye iPhone uliiruhusu ifanye Backup ya contacts zako kwenye iCloud kwahiyo kila unapoweka line tofauti kwenye simu, iCloud Account inajiSyncronise na kuongeza majina kwenye simu na kwenye account..ni vizuri kufanya backup ya contacts kwenye iCloud ila kama hautaki unaweza kuDisable synchronization ya contacts kwa upande wa iCloud. Nenda kwenye Settings then iCloud alafu kwenye contacts turn 'off'..Utachagua ziendelee kubaki kwenye iPhone au uziondoe kabisa. Like wise kwenye email accounts zako kwenye simu, unaweza kuTurn 'Off' contacts kwa muda ambao hauzihitaji kwenye simu.Ndio kaka nimei'Sign kwa ajili ya ulinzi na kudownload apps pia, ndilo tatizo nini?!
kaka ninavyofahamu hizi simu huwa hazitumii contact za sim na kama sim card yako ina contact basi unatakiwa uzi import kwenye iphone yako ili zitumike. sifahamu namna ya ku import toka iphone kuja sim card ila naweza kukuelekeza namna ya kuwa na contact zako zote ziwe file moja ambalo unaweza kwenda nalo popote