Impact ya mabomu Nairobi katika utalii wa Arusha

meningitis

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2010
Posts
8,464
Reaction score
4,828
Wadau tumesikia walami wa kingereza na probably wamarekani wameamua kuwaondoa raia wao nchini kenya kutokana na milipuko inayoendelea jijini Nairobi.

Suala hili linaweza kuwa na impact kubwa sana katika uchumi wa Arusha ambao hutegemea utalii.sina uhakika wizara ya maliasili na utalii imelichukuliaje swala hili.
 
Washindwe kuufanya uwanja wa KIA kuwa lango la watalii wataweza mradi wa kupindua mawazo ya watalii waje arusha kweli
 
....

.....Zaidi ya watalii 400 walitaka kunitolea njee lakini wamerudi kwenye mstari....usitegemee wizara kuwa na initiatives katika jambo hilo pamoja na mabalozi waliolala usingizi wa nyangumi !!
 
hongera kwa hilo,ukizingatia hii ni high season.
 
Ni opportunity,lakini wizarani utakuta wanasinzia lakini wakiamka ni kuomba chai na kusoma habari za CDM na CCM kwenye magazeti. Amkeni changamkeni nyie!
 
Acha hizo weye!!!! Uwe unafikiri kabla ya kuandika Pumba!!!! Mabomu ya Nairobi hayakulipuliwa na Lema na Lema hata siku moja hawezi kufanya lolote la kuathiri uchumi wa Arusha. Wakati mwingine kama huna la maana la kuandika ni bora kukaa kimya badala ya kuandika upumbavu.

Tatizo la Arusha ni Godbless J Lema.
 
hongera kwa hilo,ukizingatia hii ni high season.

....Mkuu ilikuwa ni wajibu wa mabalozi tulio nao nje ya nchi haswa nchi zinazoleta watalii wengi hapa nyumbani ....kuwa hakikishia kwamba usalama ni 100% lakini sizani kama wamemka usingizini !!!!!!

Kenya pamoja na limbembe bado wageni wana miminika.......
 
Wadau tumesikia walami wa kingereza na probably wamarekani wameamua kuwaondoa raia wao nchini kenya kutokana na milipuko inayoendelea jijini Nairobi.

Suala hili linaweza kuwa na impact kubwa sana katika uchumi wa Arusha ambao hutegemea utalii.sina uhakika wizara ya maliasili na utalii imelichukuliaje swala hili.

maccm waliwahi kusema CDM ndio wanasababisha utalii kushuka na hili je....
 
Tatizo la bongo sina uhakika kama tuna watendaji wajanja wanaoweza kutumia hii fursa bila kuathiri ujirani na Kenya...

Kwani alivyoonekana Uhuru akiongelea ishu ya uingereza na Marekani kuondoa watu wao...ukweli jamaa alikuwa amepanik sana, so haitokuwa busara kwa sisi kuibuka tu kichwakichwa na kuwaambia wageni njooni huku huko hakufai....itakuwa kama tunafurahia masahibu ya jirani.

Tunaihitaji busara na akili ya kutumia hii fursa...na sio kwenda Arusha tu...tuna Mikumi, Ruaha, Selous, Katavi n.k....tuna nafasi ya kuwapata karibu robo tatu ya wageni waliokwisha panga kuja Kenya (East Africa).
 
unataka kuniambia wizara iko kimya kwa kuwa tunalinda uhusiano na Ke?
 
Tatizo la Arusha ni Godbless J Lema.
Mdanganye mtoto na usitufanye wote sisi ndondocha wa kile chama chenye nembo ya Jembe na Nyundo kinachoongozwa na hayawani yule, jangiri na gaidi mkubwa wa kisomali.
Huyo ndiye tishio la si watalii tu, bali hata wanyama kama tembo na twiga. Unamfahamu Eeenh!

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom