Impact ya maandamano ya Chadema

Impact ya maandamano ya Chadema

Sukari imeshushwa bei (ingawaje 1700 bado ipo juu sana),bajaj zimeletwa
 
Kuna baadhi ya wanasiasa na wanaJF walibeza maandamano ya Chadema kuwa hayatakuwa na impact yeyote, wengine wakadiliki kusema Chadema hawatapata watu Mwanza, lakini kadili siku zilivyoendelea yakatikisa anga lote la Tanzania hadi rais pressure ikampanda akaanza kulalamika kuwa kuna mpango wa kupindua nchi. Impact hiyo iliendelea kuwatoa watu ambao hatukutegemea kama kina Sophia Simba, Wasirra, Tendwa. Wengine tuliowasikia ni Fredrick Sumaye, Mzindakaya, Sitta, Lowassa nk. Hadi leo hii hata baada ya maandamano kwisha bado mtikisiko unaendelea kutikisa. Jana Pinda alipokewa na mabango yaliyoongelea maandamano ya Chadema. Hamuoni kuwa lengo la maandamano ya Chadema kisiasa limefikiwa. Nawauliza waliokuwa wanabeza wako wapi mbona hawaonekani tena au na wao wamekumbwa na impact ya maandamano, wanaona aibu.

Upo mzee!mbona kikao hukuja kwani haya ungeyawakilisha yangekuwa bomba kichizi.Any way tutakuwa na Jubilee nyingine ambapo utakuwa mtoa mada.Pasha jembe!
 
Na mwezi ujao maandamano kama kwa nyanda za juu kusini, mpaka wakome ccm!
CCM wanajua kuwa CDM watakwenda Kusini lakini hatujasikia nao wanajiandaa kwenda kwa wananchi, ila wanajiandaa kuita waandishi na kulalamika. Safari hii wakilalamika tuwazomee tuwakumbushe wajibu wao kisiasa si kuiachia serikali iwajibie.
 
Upo mzee!mbona kikao hukuja kwani haya ungeyawakilisha yangekuwa bomba kichizi.Any way tutakuwa na Jubilee nyingine ambapo utakuwa mtoa mada.Pasha jembe!
Nilikuwepo au ulitaka nitumie jina la Quinine kwenye kikao.
 
nakuambia ikifika na huko Mbeya na Iringa nchi itarindima!
 
Ndiyo maana lazima kieleweke tu,ccm waendelee kulialia maana kuongoza Taifa kumewashinda.
Wanajua kubeza tu,lakini matokeo yapo wazi uelewa wa watu umebadilika sana.
 
We unafanya mchezo nini, CDM kinatisha kama njaa, mambo tight mpaka JK kaenda loliondo kapata kikombe eti akauliza Mch. Hivi hii dawa inatibu na uslaa?
 
Kuna baadhi ya wanasiasa na wanaJF walibeza maandamano ya Chadema kuwa hayatakuwa na impact yeyote, wengine wakadiliki kusema Chadema hawatapata watu Mwanza,

HALFCASTE" ni mmojawapo aliyesema maandamano ya Mwanza huenda yasipate watu wengi kutokana sababu kwamba CCM walikuwa wanatumia RC na Meya kuwabugudhi Machinga na Mamalishe hapa Jijini kwa Wenje na Highness. Lakini nilifarijika Jinsi watanzania walivojitokeza kwa Maelfu na Jinsi Dr Phd.Slaa alivojibu '' Hoja yangu'' Kuhusu Machinga na Mamalishe kutengewa maeneo ya biashara.Mie ni Mkereketwa wa CDM Jijini Mwanza and luvz much CDMs and its Stratergies.Peeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeepoooooooooooooooooooooz!!!
 
CCM wajibu hoja za CHADEMA ambazo ndo ukweli kuliko kutishia kwani chadema ni watanzania hivyo wasifikiri chadema ni viongozi tu.
 
We unafanya mchezo nini, CDM kinatisha kama njaa, mambo tight mpaka JK kaenda loliondo kapata kikombe eti akauliza Mch. Hivi hii dawa inatibu na uslaa?
Usintanie, Jk amekunywa dawa ya Mchungaji/Padre??? Sijasikia Tamko la Mlengo wa kushoto kuhusu dawa ya Mchungaji na kuhusu Musilims kuchangia Kanisa kwenye sh.500 ya Mch.Babu.Wapi radio Immani??????
 
IMpact ni kubwa kila mahala ambako hawajafika wanasubiliwa kwa hamu nimetokea Mbeya juzi hapa hata bibi yangu kikongwe anasema anataka kumuona silala kama anavyotamka anasema wakifika Rungwe lazima ataenda
 
impact bado,kwani dozi ilipangwa kuanza kutoa matibabu hatua kwa hatua,
 
Ndiyo kwaanza msimu wa kwanza unaanza watu washahaha, je misimu yote ikiisha.
 
impact bado,kwani dozi ilipangwa kuanza kutoa matibabu hatua kwa hatua,
Maandamano ya Mwanza yalikuwa ni kidonge kimoja tu cha kati ya vidonge 20 vya dozi kilikuwa kichungu lakini ilibidi wameze bado vidonge 19 ili dozi zima itimie.
 
Vyama vya msimu vitakufa na sasa kimebaki CHADEMa hivyo kuna haja kubwa sana kuombea CHADEMA na pia kuona jinsi gani tunashiriki katika ukombozi wa Taifa hili na kuona CCM wanachoka na kubaki na watu wao na siasa zile zile za miaka ya 1970's Hongera CHADEMA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom