Imminent attack for Nairobi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Imminent attack for Nairobi

Discussion in 'Kenyan News and Politics' started by Wacha1, Jan 7, 2012.

 1. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #1
  Jan 7, 2012
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,766
  Likes Received: 920
  Trophy Points: 280
  ''Press Association, Saturday January 7 2012 Terrorists may be on the verge of launching terror attacks in the Kenyan capital Nairobi, the Foreign Office has warned in an alert to Britons in the African country.
  The Kenyan authorities, who are engaged in military action against al Qaida-linked al-Shabab militants in southern Somalia and reportedly killed 50 in an air strike yesterday, have increased security in the city. In an update to its travel advice, the Foreign Office said: "The Kenyan authorities have alerted the public to a heightened threat from terrorist attacks in Nairobi. "We believe that terrorists may be in the final stages of planning attacks. Attacks could be indiscriminate and target Kenyan institutions as well as places where expatriates and foreign travellers gather, such as hotels, shopping centres and beaches.
  "We strongly advise British nationals to exercise extra vigilance and caution in public places and at public events."
  It already cautioned against all but essential travel to the city's poorest areas, including townships and slums.''
  The safest capital in Africa under siege ... .... .. is that going to happen or it's just another masters propaganda?
   
 2. N

  Nonda JF-Expert Member

  #2
  Jan 7, 2012
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,958
  Trophy Points: 280
 3. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #3
  Jan 7, 2012
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,381
  Likes Received: 3,341
  Trophy Points: 280
 4. N

  Nonda JF-Expert Member

  #4
  Jan 8, 2012
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,958
  Trophy Points: 280
  Nimejaribu nifahamu unalotaka kusema lakini sioni ndani.

  Mkuu Kinyungu, Kenya imekwenda/ imeivamia Somalia kwa kisingizio kuwa inapigana na Al shabaab.Je Raia wangapi wasio na hatia wameshauawa na jeshi la Kenya au kila anaeuliwa ni Al shabaab.

  Pili, Hawa wanaoitwa Al shabaab walikana kuhusika na utekaji nyara wa raia wa Kenya au wageni katika ardhi ya Kenya. Au kila anaeteka nyara watu ni Al shabaab?

  Baada ya Kenya kuanza hiyo vita, Al shabaab ndio waliiambia Kenya kuwa watajibu mapigo. Kama umesoma hiyo habari ya juu utaelewa kuwa ndio sababu sasa hakuishi milipuko huko Kenya na vitisho hivyo kuwa wataripua.

  Kenya wameingizwa hii vita na US, European nations aka war on terror.

  Unakumbuka Ethiopia pia waliivamia Somalia kuwaondoa islamic courts ambao walikwishaanza kufanikiwa kuleta amani Somalia? Na mwanzo pia US walijipeleka huko katika "humanitarian misssion" yao?

  Sishabikii Al shabaab, sishabikii Kenya lakini vita hii haihusiani na Al shabaab per se.Ni Recolonisation process na baadhi ya vikundi kama bokoharam, Al shaabab, Al qaeda affiliates vinatumika kutimiza azma hiyo. Baadhi ya nchi zanatumika pia kama officeboy.
  Qatar imetumika Libya. Ethiopia ilitumika na inatumika tena sasa pamoja na Kenya katika hii mission ya Somalia.

  kwa hiyo, yatakayotokea ni kuua,kuuana tu. Nani anafaidika?

  Kwenye hii thread
  https://www.jamiiforums.com/international-forum/182746-kenya-declares-war-on-al-shabaab.html
  ipitie unaweza kusikia maoni mbali mbali halafu changanya na zako.


  By the way, unakumbuka US alipotangaza vita dhidi ya Al qaeda? Miaka mingapi sasa?Expansion of US empire, strategy...war on terror, fight against exis of evils.
   
 5. A

  Alpha JF-Expert Member

  #5
  Jan 8, 2012
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 614
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  LOL!!!! since when?
   
 6. Kabaridi

  Kabaridi JF-Expert Member

  #6
  Jan 13, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 2,028
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  nina shangazwa sana unawapigia alqaeda na boko haram ngoma.
   
 7. Kabaridi

  Kabaridi JF-Expert Member

  #7
  Jan 13, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 2,028
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Swali ni je ungekuwa katika hali hiyo, ungefanya vipi? Tena, what do you understand by the term 'territoral' integrity
   
 8. Kibona

  Kibona JF-Expert Member

  #8
  Jan 13, 2012
  Joined: Sep 16, 2010
  Messages: 1,021
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Nonda! kenya haijaivamia somalia bali imeenda kuwasaka al shabab. kuonesha kuwa hawajaivamia somalia, wanasaidiana na TFG ambao ndio mamlaka inayotambulika kimataifa huko somalia. ofcourse raia wasio na hatia wanakufa na hiyo ndo distinctive feature ya vita.

  inawezekana hushabikii al shabab moja kwa moja lakini bila kujijua unashabikia maana unaonesha unawatambua kuwa wana haki ya kuwepo somalia na unadiriki kusema mahakama za kiislam zilikuwa zimeanza kuleta amani somalia, napata shida kutofautisha kati ya amani, hofu na utulivu. kuhusu recolonisation kwa waafrika hilo ni tatizo la waafrika wenyewe, ukubali kuwa sie tuna akili kama wazungu; sasa kama ikiwa viongozi wa kiafrika ni wabinafsi, mbumbumbu na wachumia tumbo unawezaje kuwalaumu viongozi wa nje ya bara wanaotumia udhaifu wa viongozi wa kiafrika kutimiza maslahi yao? unawezaje kuwalaumu wazungu na waarabu inapotokea udini unaimarika Tanzania wakati unajua ccm ndo wanaoupalilia? vikundi vinavyoibuka ni matokeo ya utawala mbovu wa waafrika.

  Halafu unatakiwa ujue kuwa kenya kama nchi ilitumia idara zake za usalama kugundua kuwa alshabab ndiyo inayohusika kwahiyo habari ya kukanusha kwenye vyombo vya habari siyo ishu labda kama utasema kuwa kenya ni taifa la ovyo sana kiasi cha kutumia matamko ya alshabab ktk kufanya maamuzi.

  Najua kuwa mtu dhaifu kwa kawaida atamsingizia mwenye nguvu kwa matatizo yote yanayomkabili, ndiyo maana kila uamuzi usiofurahisha waafrika unaofanywa na viongozi wetu tunasingizia kuna mkono wa US na EU, ukweli ni kuwa hakuna ushahidi wowote kuthibitisha kuwa kenya imetumwa na US isipokuwa ni uvumi wa watu wanaotoa majibu rahisi kwa maswali magumu.
  Kenya inaomba msaada huku na huko na mahali walipokimbilia ni US, EU na Israel hii ni kwasababu Kenya ni taifa linalowaabudu sana mabwana zake mabepari, lakini hapo tusichanganye kwa kuwapakazia wazungu ambavyo havina ushaidi.
   
 9. BinMgen

  BinMgen JF-Expert Member

  #9
  Jan 13, 2012
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 1,816
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  usijitie pambani.
  kama hukumuelewa rudia kusoma Naomi take. ili majibu yako

  yaonyeshe kuwa umeenda shule.
   
Loading...