immigration

immigration

gasscan

Member
Joined
Dec 3, 2014
Posts
39
Reaction score
7
habar, naomba msada ktk hili jana nlienda ofic za uhamiaji nkawakuta badhi ya wafnyakaz hawajavaa sare nlipo uliza nkambiwa wale pia service providers ila co maafisa uhamiaj, je kuna aina iyo ktk taasisi ile, na kama zipo nafas zake znapatikanaje pamoja na vigezo vyao.
 
Mie ninachojua kuhusu uhamiaji,watu wenye cheo kikubwa mostly huwa hawavai uniform but still wanakuwa maafisha ,my dady ni migration officer but huwa havai uniform but anaweza kuvaa kama kuna event fulani.
 
habar, naomba msada ktk hili jana nlienda ofic za uhamiaji nkawakuta badhi ya wafnyakaz hawajavaa sare nlipo uliza nkambiwa wale pia service providers ila co maafisa uhamiaj, je kuna aina iyo ktk taasisi ile, na kama zipo nafas zake znapatikanaje pamoja na vigezo vyao.

ulienda kufanya nini huko??. au wewe n immigrant???.
 
Back
Top Bottom