Wabongo bana, sasa tukiogopa changamoto tutaendelea kweli? Binafsi naona hiyo hali ikitokea wengi tutalufa, lakini wachache watakaosalimika lazima watatafuta namna ya kujizatiti. Nadhani hata huko hawakuzaliwa na kukuta hayo mazingira kama mnavyoyashangaa nyie wabongo mlioko huko. Huendas kutokana na kwamba mazingira yetu hayana changamoto nyingi ndo maana akili zetu zinafikiria wizi tu na kujirusha kwenye starehe.