Mwalimu katoa test ya imla,
masharti ni kwamba usifute
fute na kubadili majibu
baada ya kujaza.
Swali 1. Taja vyakula vitatu
ambavyo ukienda hotelini umeshalipiwa utapenda kula.
(1% mark)
Wanaume walijaza majibu ni
Wali, Ugali, na Mihogo.
Wadada walijibu Burger,Egg
Chop na pizza. Swali 2.
Eleza jinsi ya kupika kila
chakula ulichotaja hapo juu.
(99% marks)
Haaah haah haaah acha
wadada wahangaike kufuta majibu ya mwanzo.