kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,736
source : http://www.bbc.com/swahili/habari/2016/05/160503_imf_report_economic
MK254 na wakenya wote.
MkuuMtaua jamani, hawa majirani wataumia, huku Urusi, kule EU ni shida tupu, nenda TANZANIA ufike juu zaidi.
Unajua wazungu ni watu wajanja sana, wakishajua malengo yako hawana shida, wanaweza hata kukupaisha kuwa taifa tajiri kuliko yote duniani, sababu wanaona hicho ndo unachopenda kusikia. Hiv sis tuongoze tunazalisha nin? lazima tujiulize, tusiwe mazuzu. Tuna import hadi stick na pamba za masikion, maana yake hatuna viwanda vya kueleweka. Tuna dhahabu, lakin utalii unachangia pato la taifa zaid ya dhahabu, lakin zaidi ya yote kama export ina perfom inakuwa reflected kwenye exchange rate, exchange rate ya Tanzania ni weak nadhan iko juu ya Uganda tu. Bado tukiambiwa tunaongoza kiuchumi tunashangilia, sio kweli kabisa.
Ni takwimu za ukuaji wa uchumi mkuu (Rate of economy growth) na sio ukubwa wa uchumi. GDP imeongezeka kuwa mzalendo kwa nchi yako jaribu kuwa muungwana uchumi kukua doesn't reflect on exchange rate. Yen ya Japan has low value to Nigerian Naira unataka kusema Nigeria ipo juu ya Japan?