IMF: The fastest growing economies in Africa 2020

Marehemu Ghadafi alisema, ukiitegemea sana IMF iwe kwa data kama hizi au kwa kukopa pale world bank basi Taifa lako lazima liwe masikini milele... IMF na world bank huwa ni tools za mabeberu kuendelea kuzifanya nchi masikini hasa Africa kuendelea kuwa masikini na tegemezi..

Sramble of Africa inawatisha sana Wazungu wa West na USA, hasa hii speed ya China na Urusi toward Africa na ujeuri walioanzisha Waarabu siku za karibuni.. Wakati huu ni kuwa makini na hizi tools kama IMF, World bank, UN nk ( vingine ni siri tunaogopa kuvisema humu lakini ukweli ulio wazi navyo ni tool ya kuitawala Africa iliyolala).

Leo hii eti uchumi wa Benin,South Sudan, Uganda, Niger na Rwanda unakuwa kuliko Tanzania... Hapa ndio IMF wamejivua nguo kabisa... Anyway labda watuambie tumefikia maturity na tuko level ya Nigeria,SA, Misri, Algeria na Morocco.
 

Watakuambia mabeberu hawaitakii mema Tanzani ndiyo maana hawakuiweka hapo
 
Wakuu naomba kujuzwa IMF katika kufatilia uchumi wa nchii unakuwa kwa asilimia ngap wanaangalia vigezo vip na wenyewe katika kuchunguza na wanafaidikaa na nini wakichunguza na hz kazi wanazofany nani anawalipa....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uchumi wetu unakuwa kwenye makaratasi na kupewa kicks za kisiasa ila kiuhalisia unakuwa kwa 4% na kwa mwaka huu hali itakuwa mbaya zaidi.

Sera mbovu za serikali hii imewafukuza wawekezaji woote na kwa kuthibitisha hilo hata FDI kwa miaka minne iliyopita, imeporomoka vibaya.
 
Na tukitaka kwenda kukopa huko IMF,AFDB,WB tutatumia report zetu from NBS sio?

Anyway nimekumbuka siku hizi hatukopi tunatumia pesa zetu za ndani.

dodge
 
Ni wivu tu wa mabeberu! Inawezekana Tz imezipita hizi zote iko kwenye10%!
Siyo inawezekana ndo ukweli,nchi haiwezi ongozwa na kiongozi wa malaika mtarajiwa then uchumi wake ukue kwa kasi ya kinyonga?How
 
IMF kigezo kikuu Cha kwanza wanachokitumia kupima uchumi kukua ni kukopa pesa Mara nyingi kwao na kuzilipa kwa Wakati .Ukiwa mkopaji mzuri unayekopa Sana na kulipa Sana watakwambia uchumi wako Unakua kwa spidi ya mwewe
Basi tulitakuwa tuwe juu zaidi,maana Tanzania na mzee matonya tofauti yao ni uvaaji wa suti na locations wanazofanyia shughuli zao but matendo yao ni sawa
 
Hizo principles zenu kama hazikuwa developed chato ni batili,principle zetu za kukuza uchumi ni investment kwenye SGR,mabwawa makubwa ya umeme na mabarabara na midege
 
Mabeberu Mungu anawaona mjue kwanini hamjaorodhesha Tanzania kama kinara wa uchumi si nimesikia mahala wanna sema uchumi wetu umefika 9.2% mabeberu msitupangie kabudi hebu washangae Kwanza na macho yako 😟😤
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…