IMF REPORT: Walichobaini, mapendekezo yao ushauri walioutoa, na nini cha kuzingatia (kufanyia kazi)

Mung Chris

JF-Expert Member
Sep 12, 2017
3,367
3,778
Wakuu kama ilivyo postiwa na Zitto KWA UFUPI TU na Kwa sentensi chache sana wametoa kile walicho baini, mapendekezo, ushauri na cha kuzingatia ni kama ifuatavyo:

Ukurasa 1.
KILICHOTOKEA NI KWAMBA KUMEKUWA NA
Inefficiencies in fiscal management have led to a build-up of expenditure arrears and delays in VAT refunds.
This backlog has also
  • contributed to higher non-performing loans,
  • contributed to rising of financial sector vulnerabilities, and
  • contributed to a slowdown of credit to the private sector.
Ukurasa 1
The country faces significant development challenges:
  • A large infrastructure deficit,
  • insufficient human capital,
  • Poverty, and
  • Underemployment.

USHAURI WALIO UTOA NA MAPENDEKEZO
Outlook and risks

Tanzania could achieve robust economic growth if
  • policies focus on growth-enhancing public investments and on
  • it improve fiscal management and the business environment, all of which could increase competitiveness and leverage much-needed private investments.
WALICHOBAINI
  • Delays or little progress in implementing structural reforms,
  • unpredictable and interventionist policies,
  • and a rushed scaling-up of public investments that may not have a high rate of return will have a detrimental effect on growth and development.
WAMEONA ITAFAA ENDAPO
Reforms to support inclusive, private sector-led growth and financial stability Reforms should
  • Focus on nurturing the business climate by aligning laws and regulations with those applied in competitive economies,
  • implement a schedule to clear government spending arrears and VAT refunds, and
  • Ensure that no new arrears are incurred.
In addition, there is a need to
  • prioritize public investments with the highest payoff as determined by high quality assessments,
  • Clear arrears in the electricity sector and
  • Move forward with reforms that can increase distribution efficiency and connectivity,
  • Increase private sector participation and reliance on market mechanisms in agriculture,
  • Revisit education and visa policies to ensure the availability of required skills in the labor force,
  • Reduce vulnerabilities to corruption, and
  • Close gender gap.
Lastly,
  • It will be important to reduce vulnerabilities in the banking sector by following up on the recommendations of the recent Financial Sector Stability Analysis and
  • It will be important to ensure exchange rate flexibility to absorb shocks and support the transition to an interest rate-based monetary policy framework.
 
Mkuu umetuweza ile mbaya.
Watakaochangia hapa watakua wachache sana.
 
Hivi wanaposema kiwango cha ukosefu wa ajira ni asilimia 10 hapa inakaaje?
Pia hivi yaweza kuwa kweli kwamba Per capital income ni US$ 1000? Mbona maisha magumu sana?
 
Uchumi wa nchi yetu ungekwenda vizuri kama tunge encourage commercial banks kupata adequate deposits.Benki za biashara ndio zinachochoa uchumi kukuwa kwa kukopesha private sector ikiwa benki zetu zitaendelea kukabiliwa na ukata wa deposits kutoka kwa wateja zitafunga biashara.Liquidity position ni muhimu.Hapakuwepo na faida kuzuhia mashirika kuweka fedha zao katika mabenki ya biashara maana hata fedha za mashirika zikiwekwa fixed deposits serikali inapata faida ya withhold tax,benki inatumia fedha hizo za mashirika kukopesha anayekopa anazalisha analipa kodi,benki pia inalipa kodi.Lakini pia mashirika ya umma nayo yanapata faida kwa fedha inazowekesha mabenki ya biashara.Je Mashirika yanayoweka deposits zao Benki kuu ni Idara za Serikali kuna faida gani wanapata? maana Benki kuu ni benki ya serikali hawafanyi biashara no business no profit.
 
Wapunguze riba mbona kila mtu ataiona banki ni rafiki yake
 
Ta
Hii umekopi kwa Zitto,tunataka tafsiri yake kwa kiswahili
Tatizo ndo hilo hata huko Serikalini shida ni lugha pamoja na PhD za kumwaga. Report ni nzuri kwa taifa ni Serikali kukubaliana na yaliyogundulika na mapendekezo yao ya kyrekebisha hali badala ya kung'ang'ania 2 x 2 = 7
 
Mkuu unatakiwa uandike kwa lugha laini ili hata yule mchunga ng 'ombe wa chato aelewe kwamba amepigwa!
 
Back
Top Bottom