Imevuja toka ccp kilimanjaro.

Nitashangaa sana kama CCM itaondoka madarakani bila mtu kuishia The Hague.

Hawa vijana wa CCP wamemaliza mafunzo jana, then less than 24 hours wanapelekwa Arumeru bila kufanyiwa 'practicle assessment'? Watepewa silaa hap vijana? Kama jibu ni ndio basi Mwema amuombe mungu wake wasivurunde maana atakuwa Directly responsible kama hawa vijana watauwa.
 
Hata polisi wameichoka ccm, kama wamepewa vitambulisho wakapige kura kwenye vituo halali, kura itakuwa ni siri na wanaeza kuiadhibu ccm vilevile, labda wapigie kwenye vituo hewa chini ya uangalizi wa mkuu wao.
 
Ee Mungu uwalaani wote wote nasema wote watakaoshiriki kuharibu na kunyang'anya haki Arumeru,uwapige upofu wa kweli co wa akili 2,tumechoshwa na mafisadi,wezi,watu wasio na utu wala uzalendo,
 
Mkuu unachosema ni kweli kabisa, kuna washikaji zangu ndio kwanza wana miaka kama 2 ndani ya Usalama wa Taifa walisafiri tangu jumanne kwenda Arumeru kwenda kusaidia Uchakachuzi, CCM haina dira imepotea kabisa inafikia mpaka raisi anatoa maeleke= jinsi ya kuchakachua?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom