[h=5]Jamaa ana tatizo kaingia kwa Daktari
ikawa
kama ifuatavyo,,
Jamaa: Dokta nina tatizo huku sirini,
Daktari : Hebu vua nguo tuone,
Jamaa: sawa navua ila naomba usicheke, pliz
dkt usicheke.
Daktari : usijari mimi hii ndo kazi yangu
siwezi kumcheka mgonjwa.
jamaa akavua suruali kuonesha
dushelele yake. basi dokta kuona ustaarabu
ukamshinda akaanza kucheka na
akacheka
kama dk 3 hadi machozi yakamtoka.
kwani
dushelele ya jamaa ni kadogo kama betri Ya
AAA (betri za remote ya king'amuzi)
.Daktari
alipomaliza kucheka mazungumzo
yakaendelea,,
Daktari : enhee Tatizo ni nini??? Jamaa: IMEVIMBAA toka juzi,
Daktari Akazimia pale pale[/h]