Imetimia miaka 4 tangu Katibu Mwenezi wa CCM, Paulo Makonda apigwe marufuku kukanyaga Marekani kwa Tuhuma za kudhulumu ‘Haki za watu kuishi’

Ni vema tukakumbushana kwamba siku kama ya leo miaka 4 iliyopita , Ndugu Paulo Makonda aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam alitangazwa na serikali ya Marekani kwamba anadhulumu haki za watu kuishi , na kwamba kwa tuhuma hiyo amepigwa marufuku kukanyaga Nchini Marekani na Nchi washirika wa Marekani .

Kwa tafsiri rahisi , mtu anayedhulumu haki ya watu kuishi , maana yake ni MTU ANAYEWAUA WATU HAO

Cha kushangaza ni ujasiri wa CCM kumteua mtu wa namna hii kuwa kiongozi wa kitaifa wa chama hicho , Yaani Chama cha Nyerere , Warioba , Kawawa na Msekwa leo kinateua mtu mwenye tuhuma nzito kama hizi kuwa kiongozi wake ! kwamba chama hiki kimelenga jambo gani hasa na Je hakuna Wanachama wengine waadilifu wa kupewa cheo hicho au ni dharau kwa Wananchi na kwa Serikali ya Marekani ?View attachment 2891664

Aspokanyaga anapungukiwa na nini? Marekani ni Mbinguni au ulisikia siku moja atakwenda Marekani? Jinga wewe!
 
Ni vema tukakumbushana kwamba siku kama ya leo miaka 4 iliyopita , Ndugu Paulo Makonda aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam alitangazwa na serikali ya Marekani kwamba anadhulumu haki za watu kuishi , na kwamba kwa tuhuma hiyo amepigwa marufuku kukanyaga Nchini Marekani na Nchi washirika wa Marekani .

Kwa tafsiri rahisi , mtu anayedhulumu haki ya watu kuishi , maana yake ni MTU ANAYEWAUA WATU HAO

Cha kushangaza ni ujasiri wa CCM kumteua mtu wa namna hii kuwa kiongozi wa kitaifa wa chama hicho , Yaani Chama cha Nyerere , Warioba , Kawawa na Msekwa leo kinateua mtu mwenye tuhuma nzito kama hizi kuwa kiongozi wake ! kwamba chama hiki kimelenga jambo gani hasa na Je hakuna Wanachama wengine waadilifu wa kupewa cheo hicho au ni dharau kwa Wananchi na kwa Serikali ya Marekani ?View attachment 2891664
Hao wamarekani ni walopokajitu, wamekupa ushahidi wahizo tuhuma au na wewe unaungana nao katika kulopoka.

Umewahi kujiuliza hao wamarekani niwasafi kiasigani?.
Hivi unavyo posti unajua kama kunawatu wanadhulumiwa haki za kuishi na majeshiyao karibu kila mahali duniani?.

Punguzeni shobo.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Ni vema tukakumbushana kwamba siku kama ya leo miaka 4 iliyopita , Ndugu Paulo Makonda aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam alitangazwa na serikali ya Marekani kwamba anadhulumu haki za watu kuishi , na kwamba kwa tuhuma hiyo amepigwa marufuku kukanyaga Nchini Marekani na Nchi washirika wa Marekani .

Kwa tafsiri rahisi , mtu anayedhulumu haki ya watu kuishi , maana yake ni MTU ANAYEWAUA WATU HAO

Cha kushangaza ni ujasiri wa CCM kumteua mtu wa namna hii kuwa kiongozi wa kitaifa wa chama hicho , Yaani Chama cha Nyerere , Warioba , Kawawa na Msekwa leo kinateua mtu mwenye tuhuma nzito kama hizi kuwa kiongozi wake ! kwamba chama hiki kimelenga jambo gani hasa na Je hakuna Wanachama wengine waadilifu wa kupewa cheo hicho au ni dharau kwa Wananchi na kwa Serikali ya Marekani ?View attachment 2891664
Hivi mnajua viongozi wa marekani wameua watu wangapi
 
Mashoga wengi akina kaoge,james delicious. Kuhusu kuua leta ushahidi mkuu na sio porojo
Wewe kuku kakiri mwenyewe kuwa aliagizwa kumuua Ben saa8! Mbwa nyingine bado zinapiga vita uchunguzi usifanyike alivyohusika na kutaka kumuua Tundu Lisu! saa yenu imekaribia!!!!!
 
Huna point pole. Leta video akikiri hayo
Wewe kuku kakiri mwenyewe kuwa aliagizwa kumuua Ben saa8! Mbwa nyingine bado zinapiga vita uchunguzi usifanyike alivyohusika na kutaka kumuua Tundu Lisu! saa yenu imekaribia!!!!!
 
Wapi kwenye hiyo statement imezungumzia mauaji?Kila mwenye akili timamu anajua Makonda alikuwa targeted kwa kupinga ushoga.
Kama unapendelea ushoga endelea nao lakini usituletee hiyo smokescreen ya Wamarekani.
Unachosema sio kweli. Hapa Africa mashariki anayeongoza kupiga vita ushoga ni Museveni, lakini haijawahi kupigwa ban na muAmerica.
 
Back
Top Bottom