iMessage kwenye Android!! Wahi sasa!

iMessage kwenye Android!! Wahi sasa!

mbona haipo mkuu!!!
1380019789622.jpg
 
nimefanikiwa nahangaika na kutengeneza apple id

Mkuu PongLenis sorry, ulifanikiwa jana kutengeneza Appl id? Mi jana niliidownload ila kila nikijaza spaces za kucreate new id wanasema kuna fields sijajaza. Msaada.
 
Last edited by a moderator:
Hii waachieni wanaorun ios devices maana ni kazi bure tu kuweka kwa android mana ni ios to ios tu..kama wataka imessage vuta mnyama anaerun ios
 
Back
Top Bottom