Hii ni fix, tuambie imesimama kwenye magurudumu gani? tuache dhihaka kwenye majanga, waliokutwa na hayo yaliyotokea hawakuomba wala hawakupenda yatokee, nadhani tunatakiwa kufunga na kuwaombea wahanga kwani leo yamekua kwao na kesho yatakuwa kwetu.