Ndeke afwege
Senior Member
- May 20, 2014
- 154
- 48
am sorry to say this but hii tabia ya wasichana kukimbilia kubeba mimba sikuhizi kabla ya ndoa inanikwaza sana
Habari wanaMMU,......
Nimekua nae kwenye mahusiano kwa muda wa miaka mitatu, nampenda na niliamini ananipenda pia.
Mwezi huu nimejigundua kuwa Nina ujauzito wake, niliopomwambia anadai nitoe kwa kisingizio kuwa mimi niko shule( niko chuo kikuu).
Nikamjibu sitaweza, akanambia sawa ila yeye hatakua anawajibika kwa chochote kwa kuwa hataki kuwa na mtoto aliyezaliwa nje ya ndoa
......naumia sana nikiwaza jinsi nilivyompenda na kumuamini, na sielewi ntalea vipi huyu mtoto bila ya baba yake
mr gentleman ninao watatu naomba unisaidie fee lol
Pamoja na kupendana kote, mambo ya kupata mtoto yanahitaji mjadiliane na mkubaliane. Inawezekana hisia zake ni kwamba unataka kutumia mimba kama kigezo cha kufanya ndoa haraka. Siku hizi ndoa nyingi bibi arusi ana tumbo la kesho au kesho kutwa kujifungua.
Sikushauri utoe mimba maana ulishaamua kuzaa. Awe anataka au hataki itabidi uendelee na ujauzito na kuangalia baadaye mambo yatakuwa vipi. Je kwa muda wote huo wa uhusiano, kuna ndugu zake wanakufahamu? Kama hamna hiyo siyo dalili njema na ulipaswa kusoma alama za nyakati.
kwani hujalala tu rafiki? au bado unasikilizia uchungu wa mtu kukaa miaka 9 bila ndoa?
mr gentleman ninao watatu naomba unisaidie fee lol
tatizo ni kuwa wakati mwingine mtu unashindwa kuyabeba yanayokusibu na unajikuta umeysema ili kupunguza mzigo ndani ya moyo wako
kwa vile ww Mungu kakuepusha usifikir ndio ulikuwa makin sana ila hukubahatika kukutana na wakwale. Na acha hyo kauli ungekuwa single ningekutafuta kwa gharama yoyote ili nikuthibitishie kuwa huna ujanja ila hukubahatika kukutana nao
Mmmh vijanaume vingine hovyoo afu badaye analeta vikengere vyake nataka mwanangu fyuuuuuuu!!! Nafungulia nyuki!! Mwaya we mtu mzima usikubali kutenda dhambi hiyo usitoe jenga mazingira yatakayokufanya ndugu zako wakubaliane na hali hiyo lea mimba lea mtoto afu wanakuwaga vichwa hao!!
mrsleo anasema walidumu miaka 3...
unadhani dhana ya kukimbilia hapo ipo?
Sasa kuwa na mahusiano na mtu miaka mitatu ndo tiketi ya kumzalia mtoto? isitoshe msichana mwenyewe anaonekana bado mdogo kajiharibia maisha tu, bora angekuwa mdada mtu mzima mwenye maisha yake nisingeshangaa ningesema kashajikataa tamaa ameamua kuzaa tu