Umesahau kwamba ugomvi umeanzia supermarket alikokuwa ananunua vitu vya kupeleka nyumba ndogo? Kwa hiyo baada ya kumtwanga mkewe akaenda nyumba ndogo kupeleka vile vitu na kumsimulia yaliyotokea!
Huwezi kujua, pengine alishatoa ahadi kwa nyumba ndogo kwamba anamtafutia sababu mkewe waachane ili ahamie huko moja kwa moja! Ila huyo nyumba ndogo naye atakufa mdogo wazi kwa kuiba mume wa mwenzie, malipo ni hapa hapa duniani.......!!!
Heeeh Laaziz mbona unanishtua!! Kumbe ni Moshi, huyo Msukuma mwenzangu namuonea huruma, haiwezekani hata kazini akawa haonekani!
Usikute kakutana na nyumba ndogo ya kutokea Tanga akili zikamruka. πKama hata ofisini hajaonekana basi si ajabu nguo zake zimelowekwa.
Halafu kavalishwa khanga moja tu imeandika..''Hodi hodi mpenzi fungua mlango wa mapenzi''. Vitu vingine sio vya kuonja onja jamani tujihadhari!
laazizi...hiyo juzi alivyomtwanga na kujiondokea ndio hajarudi hadi leo hii, na hajulikani alipo, co ofcn wala wapi...cjui katowekea wapi, moshi yenyewe ndogo anipe muda nimalizane na hosp nitamsagura soweto nzima kwa kushirikiana na mfanyakazi mwenzake huyu frnd wangu.
Wachukulie poa tu, unajua ukiwa mtu wa kujali jali sana vijimaneno neno vidogo vidogo unaweza kupata vidonda vya tumbo bila sababu! Kelele za chura hazimzuii tembo kunywa maji!
yaani laazizi niache hii ishu ipite hivi hivi? jamani nackia kulia.
mkuu katoa onyo la nguu! na akome akomae kugusa vya mume akidhani vyake.
kosa lake ni kugusa simu ya mzee bila ruhusa. kwa kweli hata miye demu likirogwa likagusa simu yangu, naua mtu!!!!!!!
unajua wanawake wakiona wameolewa wanajisikiaaaaaaa, sasa tuombe Mungu atoke hospitali salama na atakuwa ameshka adabu ya mbwa mwizi
Hujanielewa laaziz, namaanisha hao ndugu wa mume! Hii ishu ya rafiki kupigwa na kupata miscarriage komaa nayo mpaka tujue mwisho wake! Yaani uwe ngangari kama mtu wa investigative journalism vile! π
ni frnd wangu wa kufa na kuzikana, ni yeye kila cku alikuwa ananicctiza kutoshika/jali cm ya mr akinisihi kama napenda nikae kwenye ndoa kwa amani nicjihucshe na mambo ya cm ya mr kama yeye anavyoiogopa cm ya mr wake, ...
Babra wala si shetani ni MUNGU alitaka kumueleleza huyo bwana anayejifanya muaminifu katika ndoa yake. Unakumbuka mie nilisema juu ya zile sms nilizokuta kwenye simu ya Mr. Mimi pia sikuwa na tabia ya kugusa simu yake hata iite mara mia ila siku hiyo imagine alikuja chicha hajiwezi nikamvua nguo simu nikaziacha kwenye mfuko wa suruali nikapanda kitandani kulala- usingizi hauji, sauti within me inaniambia 'soma messages za Mr. soma , we acha ujinga soma, nakwambia leo hulali soma' dada nilikaa macho one hour najigeuza tu mwenzangu anakoroma- mwisho nikajiuliza kwa nini nikaamka na kuichukua na kuifungua na sms ya kwanza kukutana nayo ni ya huyo hawara yake .... zikafuata na nyingine nyingi.
Na siku zote alikuwa anaimba kuwa akijanikuta au kusikia namegwa na mtu nje ya ndoa ataniua kwa kuwa yeye hamegi. Nikapata pa kuanzia,
Pole Babra, na kwa rafikiyo pia, sasa sijui akitoka aliko anakuja kuomba msamaha?
.....yaani huyu mwanamke lazima nimpate wallaah,nimeshamuomba frnd wangu mmoja anafanya kazi kwenye kampuni ya cmu ili anifanyie jitihada fulani....
na ndio naikaribia kufika, mie nataka kwanza nimuone huyo mwanamke alienitoa nai majogoo....
yaani laazizi niache hii ishu ipite hivi hivi? jamani nackia kulia.
unajua ishu hapa laaziz ni kwamba akitoka hosp akiamua mwenyewe kama wayamalize au vipi nitakuwa pembeni yake kum support kwa kila hali, hiyo nitackilizia na yeye ataamuaje...bye bye wapendwa nimefurahi sana kwa ushirikiano wenu umenipa ahueni, c u guyz..
with love.
Post zako nilikuwa nasoma huku nimekunja ndita, hapa nimeishia kucheka tu....wanawake, kweli tuna shida, na mwalimu wetu ni kipofu! si ajabu baada ya kuambiwa upupu huu na bado mdada atasamehe. Akili kichwani, ndio ungekuwa mwenza wangu, huko barabarani watu wangekuwa wanatutambua kwa idadi ya nundu na makovu yetu!
Unaonaje ukidelete hii meseji yako?angalia hapo kuna sehemu imeandikwa delete then click iclick
......πππ
ninavyojua mimi,wanaume wanaoongoza kwa kuwapenda na kuwajali wanawake ni wasukuma!....huyo muhishimiwa si msukuma!kama ni msukuma si orijino...!ni msukuma CHIPOLOPOLO!π
...sasa je!Well said mkuu huyo sidhani kama ni msukuma aisee.Wasukuma hatujui kuwapiga wamama bali tunajua kuwapenda kiukweli..Huyo jamaa ni mpumbavu na mshamba wa kiwango cha juu kabisa
Well said mkuu huyo sidhani kama ni msukuma aisee.Wasukuma hatujui kuwapiga wamama bali tunajua kuwapenda kiukweli..Huyo jamaa ni mpumbavu na mshamba wa kiwango cha juu kabisa
Mh, I'm not sure about that!.....WANAUME WASHAMBA WASHAMBA NDIVYO WALIVYO!....
hana sababu ya kumpiga.
atakua ni mkikuyu huyo au mkurya au mkerewe