....WANAUME WASHAMBA WASHAMBA NDIVYO WALIVYO!....ni frnd wangu wa kufa na kuzikana, ni yeye kila cku alikuwa ananicctiza kutoshika/jali cm ya mr akinisihi kama napenda nikae kwenye ndoa kwa amani nicjihucshe na mambo ya cm ya mr kama yeye anavyoiogopa cm ya mr wake, cjui juzi kitu kama kimemuingia wapo supermarket mr kasahau fone kwenye gari akasema ngoja niperuzi akakutana na msg ya kwanza kutoka kwa "my han' ndivyo ilivyoseviwa hivyo na msg ilkuwa inasema "my han naomba ukija upitie supermarket unichukulie vitu vya ndani vimeniishia".....mr karudi kwenye gari mke kamuuliza vizuri tu kuna mtu umem save my han, ni nani huyu mume wangu, mume hakujibu lolote kawasha gari mpaka home kufika kamkung'uta mke wake ipasavyo,, akawasha gari kaondoka bila maelezo yoyote na mpaka sasa hajulikani alipo, jana asubuhi frnd ndio ananical ananieleza yote haya, ana mimba ya miezi 4 akaniambia ameona kitu kama period hivi nikamwambia wahi hosp itakuwa ni mshtuko wa kipigo, namaliza kuongea nae housegal wake ananical ananimabia "dada" amezimia, kumbe alipigwa vibaya ameumia ndani kwa ndani sehemu za kichwa yupo KCMC amelazwa hajitambui na mimba imetoka, ndio nipo naelekea moshi kumuona.....hebu mniambei jamani tunakoelekea na hizi ndoa....nimebakia kulia tu nikiomba mungu nimkute salama....waume zutu hivi mnataka tuwafanyie lipi jema kwenu jamani, mliooa humu hebu niambieni kosa la huyu mdada kupata kipigo kikali hivi ni nini?
MSUKUMA GANI HUYO HAJUI MAPENZI!...lolni msukuma G...
kwa hiyo jamaa ndo hajatokea hata huko hosii?ni msukuma G...
uinaonekana hajui kudo ndo kea GMSUKUMA GANI HUYO HAJUI MAPENZI!...lol
Aaaah hii mikasa ya siku hizi jamani inakosesha hata amani ..na haya mambo ya simu nyie acheni mungu amsaidie apone na aanze maisha yake vizuri kama wata Reconcile
na mzee tushukuru .namshukuru sana Kaizer alinipa ushauri one day yes kuhusu hivi visimu thanks Binamu
ni frnd wangu wa kufa na kuzikana, ni yeye kila cku alikuwa ananicctiza kutoshika/jali cm ya mr akinisihi kama napenda nikae kwenye ndoa kwa amani nicjihucshe na mambo ya cm ya mr kama yeye anavyoiogopa cm ya mr wake, cjui juzi kitu kama kimemuingia wapo supermarket mr kasahau fone kwenye gari akasema ngoja niperuzi akakutana na msg ya kwanza kutoka kwa "my han' ndivyo ilivyoseviwa hivyo na msg ilkuwa inasema "my han naomba ukija upitie supermarket unichukulie vitu vya ndani vimeniishia".....mr karudi kwenye gari mke kamuuliza vizuri tu kuna mtu umem save my han, ni nani huyu mume wangu, mume hakujibu lolote kawasha gari mpaka home kufika kamkung'uta mke wake ipasavyo,, akawasha gari kaondoka bila maelezo yoyote na mpaka sasa hajulikani alipo, jana asubuhi frnd ndio ananical ananieleza yote haya, ana mimba ya miezi 4 akaniambia ameona kitu kama period hivi nikamwambia wahi hosp itakuwa ni mshtuko wa kipigo, namaliza kuongea nae housegal wake ananical ananimabia "dada" amezimia, kumbe alipigwa vibaya ameumia ndani kwa ndani sehemu za kichwa yupo kcmc amelazwa hajitambui na mimba imetoka, ndio nipo naelekea moshi kumuona.....hebu mniambei jamani tunakoelekea na hizi ndoa....nimebakia kulia tu nikiomba mungu nimkute salama....waume zutu hivi mnataka tuwafanyie lipi jema kwenu jamani, mliooa humu hebu niambieni kosa la huyu mdada kupata kipigo kikali hivi ni nini?
hajulikani alipo mpaka sasa, nadhani amehic ameuwa.
nasemaga ningejua haya mie, nicngeingiaga kabisa, lakini nakushauri uingie upambane na wewe, sio zote zina makashikashi, kuna raha/kero zake humo.
......jana ckupata ucngizi, nimeamka ucku nimemkodolea msukuma wangu jicho namuona ni wale wale tu....