Imeniuma sana siku ya May Mosi

Frekim

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2013
Posts
321
Reaction score
57
Nimeumia sana kuona wafanyakazi wakisherekea siku yao ya wafanyakazi ili hali mimi mwaka wa pili sasa sina kazi, inabidi na sisi ambao hatuna kazi tutafutiwe siku yetu na sisi tusherekee ili ijulikane kuwa kuna watu ambao atuna kazi na tunatafuta atupati.
 
Siku ya mtumwa mei mosi/ Sikukuu ya mfanyakazi ni kua bosi/ usiumie mkuu maana hata wao wanashida kibao na waajiri wao
 
nimejikuta nacheka utafikiri mazuri.
 
Siku ya mtumwa mei mosi/ Sikukuu ya mfanyakazi ni kua bosi/ usiumie mkuu maana hata wao wanashida kibao na waajiri wao

tungezipata kwanza hizo ajira hao maboss nijambo lingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…