Habari ndugu wana jf poleni kwa usumbufu wangu wa kuomba msaada kila siku lakini ntafanya nini wakati sina ninachojua?
TATIZO LANGU NI KWAMBA NILIKUA NA PICHA KWENYE MEMORY CARD AMBAZO NI KUMBUKUMBU MUHIMU SANA ZA FAMILIA LAKINI SUDDEN HAZIONEKANI NA WALA SIJA DELETE CHOCHOTE NAOMBENI MSAADA NDUGU ZANGU NAMNA YA KUZIRUDISHA HIZO PICHA
THANKS IN ADVANCE