IMENICHANGANYA HII BEI YA HARRER

IMENICHANGANYA HII BEI YA HARRER

Esayi

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2017
Posts
355
Reaction score
146
Habari ya uzima!
Nikiwa huko kwenye mitandao mingine nimekutana na bei ikanishanganza nikawaza kama ni hvyo naweza miliki ndiga hii

$1250 hii ni sawa kweli gali kuuzwa takribani milion mbili na kama laki nane hivi sijui au wanazingua wezi
IMG_20190519_074523.jpeg
 
Ngoja iingie Tanzania ikutane na horrible tarifs kwa sasa we furahia tu.
 
I s t uko unaweza kukuta million moja nanusu kimbembe apo ukakuta ushuru milioni 3
 
Habari ya uzima!
Nikiwa huko kwenye mitandao mingine nimekutana na bei ikanishanganza nikawaza kama ni hvyo naweza miliki ndiga hii

$1250 hii ni sawa kweli gali kuuzwa takribani milion mbili na kama laki nane hivi sijui au wanazingua weziView attachment 1101823
Hiyo bei sio ya ajabu mbona,
But utahitaji ingine Kama hiyo kwa ajili ya usafiri kuileta Bongo,
Utahitaji pia Kama Dola 300 za ukaguzi,
Utahitaji kama Dola 80 za bima ya usafiri.
Unapoenda Benki kuituma watakuchaji kama Dola 50 hivi kama sending fees.
Mwishowe waweza kukuta zimefika labda Dola 3,000 ambayo yaweza kua kama 7mil za madafu.

Hapo TRA atakuambia nae umpe 7Mil zingine za kodi, bandari nae atataka kidogo tu, clearing agent nae atataka kama laki 3 labda.

Kuja kushtuka tayari 15mil hii hapa ishakutoka, ukija kupiga hesabu unabaki 😨😨😨
 
Unapenda ujuaji sana mkuu, Maaandishi kakosea Picha ya gari je?? Anyway wavaa miwani ni Walemavu kama wengine tu ngoja ujitutumue tu
Kweli bwana mwambie vijimtu vingine shida sijui hakion
 
Habari ya uzima!
Nikiwa huko kwenye mitandao mingine nimekutana na bei ikanishanganza nikawaza kama ni hvyo naweza miliki ndiga hii

$1250 hii ni sawa kweli gali kuuzwa takribani milion mbili na kama laki nane hivi sijui au wanazingua weziView attachment 1101823

May be nikweli. Wenzetu wanatumia kidogo na wanauza bei chee ukilinganisha na huku kwetu.

Unaweza ukalinunua kwa bei ya milioni mbili lakini ushuru wake ukaambiwa milioni 8. Mpaka ukabidhiwe inaweza fika 18 au 20 Milioni. Hii ndio tz
 
Back
Top Bottom