Imekuwaje tena?

nexus white

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2011
Posts
210
Reaction score
81
[h=2]Waziri mkuu alisema wamejipanga vizuri sana katika mgomo huu wa madaktari, sasa inakuwaje tena wanaenda mahakamani kusitisisha mgomo, nilidhani wataleta madaktari kutoka nje ya nchi na pia kuajiri wapya, kweli nimeamini serikali ya watukutu haifunzwi daima.[/h]
 

Mkuu hapo kwenye red mpango wenyewe aliokuwa anasema Pinda ndiyo huo wa kuitumia Mahakama.Hovyo kabisa utawala wa baba Mwanaasha.
 
Mkuu hapo kwenye red mpango wenyewe aliokuwa anasema Pinda ndiyo huo wa kuitumia Mahakama.Hovyo kabisa utawala wa baba Mwanaasha.

Subirini mipasho muda mchache atakapohutubia wazee wa jiji la D'Salaam.
 
mods unganisha huu uzi na ule original. mnajaza server tu unnecesarly.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…