Salamander JF-Expert Member Joined Dec 7, 2012 Posts 28,545 Reaction score 15,781 Aug 27, 2015 #1 ..............jukwaa la picha limevamiwa na watoa taarifa wa vyama vya siasa. Nendeni kwenye jukwaa husika hapa mnatuharibia pozi tu.
..............jukwaa la picha limevamiwa na watoa taarifa wa vyama vya siasa. Nendeni kwenye jukwaa husika hapa mnatuharibia pozi tu.
Odhiambo cairo JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 16,353 Reaction score 22,963 Aug 27, 2015 #2 Ni kipindi cha siasa hivyo kila mahali ni siasa. USISHANGAE
Mgirik JF-Expert Member Joined Apr 27, 2013 Posts 13,286 Reaction score 13,460 Aug 28, 2015 #3 Salamander said: ..............jukwaa la picha limevamiwa na watoa taarifa wa vyama vya siasa. Nendeni kwenye jukwaa husika hapa mnatuharibia pozi tu. Click to expand... mkuu bora tuwe wapole tu. Watu wanamizuka mpaka inashangaza. Kila kona ya Tz ni Ukawa na ccm
Salamander said: ..............jukwaa la picha limevamiwa na watoa taarifa wa vyama vya siasa. Nendeni kwenye jukwaa husika hapa mnatuharibia pozi tu. Click to expand... mkuu bora tuwe wapole tu. Watu wanamizuka mpaka inashangaza. Kila kona ya Tz ni Ukawa na ccm